Ndo kwanza siku ya pili ya week, na wengi wetu tuna mambo mengi ya kuwaza kwa ajili ya kuitimisha week nzima. Je katika mambo hayo na tztizo la nywele gani usukie au u style up lipo? basi hizi ni style mpya za nywele zilizo wekwa na watu maarufu mbali mbali ambazo una weza kuweka na wewe
kajala ame weka lace weaving la dhahabu ambapo alitoka kwenye natural hair za pink
Wema yeye ame weka fringe mbele huku juu ame weka kidoti
Wolper kaweka style ya kiduku cha pembeni kama una nywele fupi hii ina kufaa
Vanessa ameenda na long curly weaving nyeusi ni nzuri maana unweza kuistyle namna nyingi
Kim Kardashian ame kata nywele ni high/low bob na kaiweka rangi chini (ombre)
Khloe Kardashian kaweka rainbow cornrow kama wewe sio muoga na hujali hii inakufaa
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/style-za-nywele-kutoka-kwa-wemakajala-na-wengine/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/style-za-nywele-kutoka-kwa-wemakajala-na-wengine/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/style-za-nywele-kutoka-kwa-wemakajala-na-wengine/ […]