SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Stylish Accessories Zinazoweza Ku-update Mavazi Yako ya Ramadhani
Dondoo

Stylish Accessories Zinazoweza Ku-update Mavazi Yako ya Ramadhani 

Watu wengi hudhani kuvaa mavazi ya kujistiri kuna kufanya uwe boring kwamba huwezi ku accessorize mavazi hayo, kizuri ni kwamba mitindo ina kua na kubadilika siku hadi siku zamani ma baibui yalikua ya rangi moja tu ambayo ni nyeusi lakini kwa sasa tunaona mabaibui yakiwa yamebuniwa kwa rangi tofauti tofauti huku yakiwa yame ongezewa nakshi za kila aina kama vito, lace na urembo mwingine mwingi.

Hii pia imetoa fursa kwa watu kuweza ku accessorize mitoko yao iwe baibui, skirt, gauni suruali etc. Leo tumewaletea urembo ambao una weza kuinua vazi lako la Ramadhani kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

  • Miwani – miwani ina weza kukusaidia kutoa vazi lako kutoka kuwa boring adi kuwa sassy, kitu ambacho muhimu kujua ni sura yako ni ya umbile gani na uvae miwani ya aina gani na pia jinsi ya kufunga hijab zako ukiwa una vaa miwani

  • Clutch/Handbag – Clutch/Handbag ni chaguo zuri la ku update mavazi yako msimu huu, mavazi ya Ramadhani mara nyingi huwa na rangi tulivu hasa kama ni baibui mengi ni rangi ya damu ya mzee, nude, dark blue etc una weza kuchagua clutch au handbag ambayo ina rangi inayo shout kidogo kama nyeupe, nyekundu, blue etc hii itasaidia kuinua muonekano wako na ku-put color katika vazi lako.

 

  • Kimono/long coats – ukiachana na kuwa njia nzuri ya kuvalia nguo zinazo kubana lakini hizi ni nzuri pia kwa kubeba vazi lako hasa kama uchaguzi wako wa rangi utakua mzuri kwetu sisi floral kimono au long blazer ni nzuri ukivalia na mavazi yenye rangi za kutulia.

  • Mkufu/Pete na Belt – hizi ni simple na easy ways za ku update muonekano wako, chagua rangi nzuri na pangilia vizuri zinaweza kukutoa kutoka Z kwenda A real quick

  • Bold Lipstick & Hijab – pale ambapo vazi lako lipo plain hizi ni kimbilio lako bold lipstick na hijab una weza kufanya zimatch na utashangaa namna muonekano wako utakavyo badilika efortless

Kama kuna kitu una hisi hatuja kiweka au una hitaji kukiongezea una weza kutuandikia kupitia

 

Related posts

5 Comments

  1. hawaiian magic mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/stylish-accessories-zinazoweza-ku-update-mavazi-yako-ya-ramadhani/ […]

  2. Buy Psilocybe Mexicana Mushroom for sale Miami,

    … [Trackback]

    […] There you can find 6851 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/stylish-accessories-zinazoweza-ku-update-mavazi-yako-ya-ramadhani/ […]

  3. reputable dog Breeder

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/stylish-accessories-zinazoweza-ku-update-mavazi-yako-ya-ramadhani/ […]

  4. สินเชื่อโฉนดที่ดิน เปล่า

    … [Trackback]

    […] Here you will find 23060 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/stylish-accessories-zinazoweza-ku-update-mavazi-yako-ya-ramadhani/ […]

  5. her response

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/stylish-accessories-zinazoweza-ku-update-mavazi-yako-ya-ramadhani/ […]

Leave a Reply