SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tanzania Celebrities Rocking The Big Afro Hairstyle
Urembo

Tanzania Celebrities Rocking The Big Afro Hairstyle 

Sote tunaweza kukubaliana kwamba ukiachana na afro hair style kuwa ni moja kati ya hair styles kongwe lakini ni hairstyle ambayo huwa haitoki kwenye trend, ukiachana na kwamba ni hairstyle ambayo ni rahisi kuweka lakini pia ni moja kati ya hairstyle ambayo haimkatai mtu, inaendana na aina zote za sura.

Kwasasa hii hair style imeonekana kuwa kwenye chat watu maarufu wengi wameonekana kuiweka iwe nywele zao za asili,wigs au weaving.

Hawa ni baadhi ya ambao tumewaona wameweka hair style hii

Miss Tanzania 2022/2023 Halima Kopwe, mwanamuziki na muigizaji Zee Cute pamoja na mwanamuziki Anjella

mwanamitindo Miriam Odemba, mwanamuziki Phina na Linah

Well tuambie nani amependeza zaidi na style hii?

Related posts