SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

#TBT KUMBUKA VIPODOZI VYA ZAMANI
ThrowBack

#TBT KUMBUKA VIPODOZI VYA ZAMANI 

Leo katika #tbt yaani Throw Back Thursday au alhamisi ya tupanyuma tunakuletea vile vipodozi ambavyo watu wengi walikua wana vitumia haijalishi una hela au huna, enzi zile bado hatukuwa tunamjua mac wala iman.

BABY_POWDER_COMPLETE_CARE_100G

Zamani tulikua tunapaka Baby powder usoni yani hapo hakuna cha Mac powder wala powder blonze, uwe mweupe au mweusi hii ilikua lazima ihusike.

fenugrec-moulu

Unakumbuka kusaga udongo ule wanao kula wamama wajawazito kuwa kama Powder ya usoni? hii ilikua rahisi sana sio expensive, lakini hii ilikua ina tumiwa sana na weusi na maji ya kunde.

CocoCheng.Beauty-benefits-baby-powder-and-Vaseline-11

Unakumbuka kupaka mafuta ya kupaka kama lip balm? kama una kumbuka hizi wewe ni mzee sasa.

x354-q80

Angel face hii kila mtu alikuwa nayo kwenye pochi yake hasa wapenda urembo

232215119

Wanja hizi hakukua na wanja wa lulu wala nini wanja zilikua za pencil na zilikua rangi tofauti tofauti ila brown na nyeusi ndo ilikua inapendwa sana

SDC17966

Hizi lipstick zilikua zina katika sana, na zipo zile nyingine za kijani ila ukipaka inakua nyekundu.

Tunatumai tumekukumbusha na ume enjoy.

Related posts

3 Comments

  1. Ufabet

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/tbt-kumbuka-vipodozi-vya-zamani/ […]

  2. แบบบ้านหรู

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/tbt-kumbuka-vipodozi-vya-zamani/ […]

  3. can molly cause seizures,

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/tbt-kumbuka-vipodozi-vya-zamani/ […]

Leave a Reply