SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

We Tested Lavie Jet Black Eyeliner & Here Is Our Review
Is It Worthy Your Coins

We Tested Lavie Jet Black Eyeliner & Here Is Our Review 


Kwanza kabisa ninafurahi kuendelea kutumia brand za kiafrika sanasana Tanzania. Kwa Leo naomba nitoe maelezo madogo tu lakini mazito kuhusu wanja huu. Kwanza kabisa nimekuwa Nikisumbuka Sana na wanja hasa, waterline (wanja wa macho). Kila nilizokuwa nilijaribu haukuwa unakaa vizuri (kwa muda mrefu bila kuchuja). Tarehe 11/07/2019, nikasema let me try kununua hii ya Lavie nione, nikanunua same day nikafanya maribio kwangu. Nikaipaka jicho moja tu eyeliner na waterline pia, mpaka kufikia jioni bado nnawanja wangu ha haujafutika Wala kuchuja, piàaaa sio mzito kwenye macho (weightless kabisa Yani).

SIFA ZAKE.
_ Haichuji katika macho( a long wear liner)
_ Unakauka haraka
_Ni waterproof though haijaandikwa lakini unaweza kuprove mwenyewe
_Ingrediantes zilizotumika pia Ni nzuri

Makeup By @Tunu_designs

Nacho Naweza kusema, this will be my favorite liner kuanzia Sasa, nimeipenda sana.

Baada ya kutumia eyeliner, nilitumia pia eyeshadow yake. It’s a big YES!!!!
Nikatazama pia ingredients zilizotumika zipo sawa kabisa sijaona yenye kasoro kwa uelewa wangu.

Ni eyeshadow nzuri mnoooo, kila eyeshadow iliopo pale, inashika vizuri kabisa, unaweza kuchukuwa kiasi kidogo tu lakini inasambaa vizuri na kushuka vizuri kabisa.
Dear dada @laviemakeup @laviecosmetics Naomba tuletee more colours ( I do love). 🙈🙈🙈🙈.
Unaweza kuitumia kupaka Aina yoyote ya eyeshadow smokyeyes, cutcreas, nude, round, Arabic n.k naipenda

Review Imefanywa na makeup artist @tunu_designs

Related posts

1 Comment

  1. Boldenon Undecylenat Kaufen

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/tested-lavie-jet-black-eyeliner-here-is-our-review/ […]

Comments are closed.