SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Art Of Accessorizing
AfroTipAndTricks

The Art Of Accessorizing 

Ni rahisi kuharibu outfit nzuri kwa kutumia accessories ambazo haziendani nayo lakini pia hizohizo accessories kama zitatumika vizuri zinaweza kutoa outfit from ordinary to fabulous.

Ikiwa haujui nini cha kufanya linapokuja suala la accessories, habari njema ni kwamba ni rahisi kujifunza miongozo michache kukamilisha mavazi yako na kuyafanya kuwa stylish

Je Fashion Accessories na zipi?

 • Viatu
 • Mikoba
 • Blazer
 • Jewellery
 • Kofia
 • Miwani
 • Socks na Scarfs
 • Mkanda

Kwa kweli ufafanuzi mpana wa accessories ni kila kitu unacho ongezea isipokuwa mavazi yenyewe, hapa inamaanisha mitindo ya nywele, urembo na hata vazi la nje kama koti.

Accessories hutumika Kufanyaje?

 • Bring attention to your best points and minimize your worst
 • Ku-update mavazi ya zamani kuonekana ya kisasa
 • Look and feel younger – Ku- update mavazi yako na accessories kila wakati ni njia nzuri ya kuonekana wa kisasa bila kutumia pesa nyingi
 • Get the “look” you want — such as chic, elegant, sophisticated, wealthy, business, casual, fun, artistic and so on
 • Kubadilisha muonekano wa vazi – Kutoka kwenye casual kwenda kwenye formal wear, kwa kubadilisha accessories ulizovaa. Mfano unaweza kubadilisha viatu, mkoba na jewelry kunaweza kukutoa katika muonekano wa formal kwenda kwenye evening event.
Accessorizing Tips

 • Fikiria Kuhusu Body Scale Yako Unapochagua Accessories

Ni vizuri kufikiria kuhusu body scale yako pale unapochagua accessories, hapa tunamaanisha kimo, upana lakini pia na bone structure.

 • Small Scale – Chagua small na medium accessories
 • Medium Scale – accessories za aina yoyote zinaendana na wewe, japo kama umfupi basi tumia small na medium accessories kwa sababu accessories kubwa zinazidi kuonyesha ufupi wako
 • Large Scale – Chagua medium – large accessories ( Kama umrefu kama mfupi tumia small to medium accessories )
 • Grand Scale – Tumia medium – sized accessories,small or large accessories will emphasize your size
 • Accessories ziendane na mavazi yako

Wakati wa kuchagua accessories kama viatu, mikoba hakikisha inaendana na mavazi yako, kwa kuendana tunamaanisha hakikisha kuna common element au theme kati ya mavazi na accessories. Hii inaweza kuwa rangi, uzito, muundo au style au muundo (design) .

 • Accessories as focal points

Unaweza kutumia accessories kama focal points, focal points ni vitu ambavyo vina attract attention kama bright color au statement design.

Lengo la kutumia focal points ni ku-attract attention on your good point na kuondoa au kupunguza attention kwenye vile ambavyo hupendezwi navyo. Kama ambavyo mavazi yanaweza kutumika kama focal point na accessories pia zinawezekana.

A polished appearance inaweka kupatikana kama kutakuwa na usawa, kwahio usiwe too much na accessories wala usiwe too low, Accessories zikitumika nyingi na vibaya zinaweza kuwa too flashy, overdone au inappropriate na kama zitakuwa chache zinaweza kuleta uninteresting look.

Related posts

1 Comment

 1. Dark web market links

  … [Trackback]

  […] Here you can find 27047 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/the-art-of-accessorizing/ […]

Comments are closed.