“Makeup magnifies the beauty that already exist “, kupaka makeup hakumaanishi kunakubadilisha kile ambacho unacho bali kinaongezea kukifanya kile ambacho unacho kuwa bora zaidi.
Kama ambavyo tunajua watu maarufu huchukua muda wao kutuonyesha mitoko yao na makeup looks zao kupitia katika mitandao ya kijamii, week iliyopita tumewaona watu kama Hamisa Mobetto, Elizabeth Michael, Queen Darleen, Esma Platnumz na Tahiya John kwenye flawless makeup looks.
Hamisa Mobetto yeye alikuwa in ageless makeup ambayo kilicho catch our eyes ni eyeliner pamoja na red lipstick.
Muigizaji Elizabeth Michael yeye alikuwa in nude makeup, we love the luxe eye liner style
View this post on InstagramVibration dey enter FEB Abiii๐คฃ๐๐๐๐ . . . Happy New Month Lizynians๐ฅฐ๐นโค๏ธ
A post shared by Elizabeth Michael (@elizabethmichaelofficial) on
Mwanamuziki Queen Darleen ameonekana watofauti kabisa na hii face beat, we love the additional lens.
View this post on Instagram๐ @shuusalon ๐ธ @ricky_photographer5 ๐
A post shared by ๐Dizzo๐ (@queendarleen_) on
Esma Platnumz gave us colorful makeup look kwa ajili ya birthday photoshoot yake and we loved it.
Well afromates tuambie nani ameshinda beauty look of the week?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/the-best-beauty-looks-of-the-week-from-hamisa-mobetto-elizabeth-michael-and-others/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/the-best-beauty-looks-of-the-week-from-hamisa-mobetto-elizabeth-michael-and-others/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/the-best-beauty-looks-of-the-week-from-hamisa-mobetto-elizabeth-michael-and-others/ […]