Hii cross body bag kutoka katika kampuni ya Chloe imeonekana kuwa a hit bag this season, karibu kila fashionista anayo na ameibeba. Inauzwa $1,690 sawa na 3,718,000/- za ki Tanzania ni Kabag kadogo tu japo kuna za kufyatua pia ambazo kidogo zinauzwa bai rahisi
Ni a small show off bag ambayo unaweza kuweka vitu vidogo vidogo kama simu, makeup, wipes etc.
Tume waspott watu maarufu mbalimbali kama Toke Makinwa akiwa amekibeba yake yeye ya muundo mwingine lakini zote zinaitwa jina moja la zinauzwa bei moja
Lakini pia Jadore Fashion
Baadhi ya watu maarufu na fashion bloggers wengine walio beba hii bag ni
hawa ni baadhi tu lakini huko social network ukiingia hii pochi utakutana nayo sana, well labda kwa sababu ni easy to carry lakini pia we love how chic & decorative it is.
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/the-hit-bag-chloe-nile-small-bracelet-crossbody-bag/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/the-hit-bag-chloe-nile-small-bracelet-crossbody-bag/ […]