SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

THE POWER OF RED LIPSTICK
Urembo

THE POWER OF RED LIPSTICK 

Kuna kila aina ya rangi duniani, na ukiongelea kuhusu urembo kila kampuni inajaribu kuna na rangi za midomo mbalimbali ili kuwaridhisha wateja wao kuanzia nude color, pink, orange, purple na nyingine nyingi tumeziona zikija kwenye trend na kuondoka lakini a mother of them all ni red lipstick.

Ipo tangu na tangu toka miaka ya 30 ambapo watu maarufu mbalimbali walionekana wakizipaka lakini most of them all ni Marilyn Monroe katika miaka 50.

Well there is something about red lipstck, its always a good to go accesory pale unapokuwa unataka kutoka na unataka kuipa sura yako nuru. ni kama magic unapokuwa in a bad day na kupaka red lipstick inakupa nuru katika uso wako na hata kuipa nuru outfit yako.

Red Lipstick inakupa feminine look lakini pia ina boost confidence yako, hatujui whats with redlipstick mpaka ina kuwa powerful kiasi hiki lakini pale unapoogelea rangi nyekundu inasimama pande mbili kwenye upendo lakini pia hatari labda ni sababu kubwa ya red lipstick kuwa na nguvu tofauti na rangi nyingine.

Ukipaka redlipstick unapata nguvu tofauti na ambapo ulipokuwa hujapaka may be hii ni sababu kubwa ya rangi hii ya lipstick kupakwa na watu mbalimbali katika hafla tofauti tofauti, red carpets, harusi, kazini etc.

Red lipstick ina draw people’s attention into you, kama wewe ni mwanamama na ulishawahi kupaka red lipstick na kwenda shuhuruni utakubaliana na hili kuna nuru fulani unapata unakuta watu wana kunotice wewe kwanza kabla ya wengine it is such a good way kuwavuta watu.

Well hayo ndiyo tuliyo kuandalia leo katika urembo, tunadhani umepata mawili matatu kuhusu lipstick nyekundu na utaitumia mara kwa mara kwa maana wengi wetu huwa tunaikimbia kutokana na ku-shout sana.

Related posts

2 Comments

  1. magic mushroom chocolate bars nyc

    … [Trackback]

    […] Here you will find 81357 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/the-power-of-red-lipstick/ […]

  2. おっぱい 無料 動画

    … [Trackback]

    […] There you will find 3422 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/the-power-of-red-lipstick/ […]

Comments are closed.