VITUNGUU MAJI

Onions: red, brown, whole, peeled, sliced, rings.

Unaweza kushangaa kwamba kitunguu maji kinawezaje kukuza nywele, lakini katika hiki kitunguu kuna

sulfur nyingi ambazo zinasaidia kukuza collagen ambayo inafaida kwa nywele. Tengeneza Juisi ya vitunguu kisha paka kwenye shina za nywele kaa nayo kwa muda na kisha uoshe, unaweza pia ukachanganya na asali.

MAJI YA VIAZI
21-at-home-remedies-to-make-your-hair-grow-faster10
Saga viazi na uchukue maji maji yake kisha changanya na ute wa yai pamoja na asali paka kwenye shina la nywele kaa nayo kwa muda na kisha uoshe nywele zako hii pia usaidia ukuaji wa nywele
JUISI YA LIMAO
21-at-home-remedies-to-make-your-hair-grow-faster6
Kama una taka kung’aza nywele zako bila kutumia makemikali unacho faa kutumia ni juisi ya limao, chukua kopo la spray weka maji, juisi ya limao pamoja na mafuta ya Kung’aa na paka kwenye nywele zako pia itakusaidia kukuza nywele.
MAJI
21-at-home-remedies-to-make-your-hair-grow-faster
Hakuna njia ya kukuza nywele nyingine zaidi ya kunywa maji, kama hunywi maji ya kutosha nywele haziwezi kukua hasa kutokana na mwili wetu ume umbwa kwa asilimia kubwa na maji.
UTE WA YAI
21-at-home-remedies-to-make-your-hair-grow-faster1
Nywele zinahitaji protein nyingi na Ute wa yai una protin unaweza kula mayai mengi au kutumia ute wa yai kama steaming, paka kwenye nywele kwa muda wa dk15-30 kisha utoe