SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TIBA ZA ASILI KWA AJILI YA NGOZI KAVU.
Skin Care

TIBA ZA ASILI KWA AJILI YA NGOZI KAVU. 

Ngozi kavu ni tatizo common ambalo mara nyingi hutokea katika miezi ya baridi japo pia una weza kupata tatizo hili mwezi wowote kwa sababu ya ngozi yako kuwa hivo. Kama una taka kulitibu tatizo hilo kwa njia za asili basi hizi chache zina weza kukusaidia.

  • PARACHICHI

pinterest-diy-face-masks-avocado

Parachichi lina sifika kwa kuwa na Vitamins nyingi, antioxidants, na fatty acids ambazo zina weza kuipa ngozi yako unyevu nyevu (moisturize) pia ina Vitamin A ambayo ina weza kusidia ngozi yako kuji restore na kuiacha soft na laini. Unacho hitaji ni kuwa kukata parachichi katika bakuli kisha saga mpaka pale utakapo pata ujiuji/juice nzito ya parachichi kisha paka usoni mwako na kaa nayo kwa muda wa dakika kumi na tano (15 mins), kama utapenda una weza kuongezea vijiko viwili vya asali katika mchanganyiko wako ili kupata matokeo bora zaidi.

  • MAFUTA YA NAZI
  • coconut-oil-benifits-skin-care-2

 

Mafuta ya nazi pia yana sifika kwa kuwa na Fatty acids ambazo husaidia kuipa ngozi unyevu nyevu pia nzuri katika kutibu ngozi kavu mwilini, pasha mafuta yako yawe ya uvugu vugu paka kwenye ngozi kaa nayo usiku mzima ( paka na ulale nayo), pia ni mazuri kupaka hata baada yakutoka kuoga na ukakaa nayo siku nzima.

  • MTINDI

Plain-Yogurt

Mtindi ni chanzo kizuri cha protein kwa ajili ya kutibu ngozi kavu, pia ina vitamin B12, vitamin B2, magnesium na potassium ambazo ni virutubisho muhimu kwa ajili ya afya ya ngozi, paka mtindi wako ambao hauna flavor (yaani usije kununua mtindi wenye radha eg vanilla, strawberries etc) paka ule mtindi fresh usio na chochote paka kwenye maeneo yaliyo makavu halafu uache kwa dakika 10 (10 mins) na utahisi kuwashwa na kupata unyevu nyevu baada ya kutoa utapata ngozi nyororo na isiyo kavu.

Related posts

6 Comments

  1. พนันบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/tiba-za-asili-kwa-ajili-ya-ngozi-kavu/ […]

  2. hawaiian magic mushrooms

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/tiba-za-asili-kwa-ajili-ya-ngozi-kavu/ […]

  3. useful reference

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/tiba-za-asili-kwa-ajili-ya-ngozi-kavu/ […]

  4. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/tiba-za-asili-kwa-ajili-ya-ngozi-kavu/ […]

  5. pay debt

    … [Trackback]

    […] Here you will find 12867 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/tiba-za-asili-kwa-ajili-ya-ngozi-kavu/ […]

  6. เว็บพนันออนไลน์ เว็บตรง 100

    … [Trackback]

    […] Here you will find 29599 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/tiba-za-asili-kwa-ajili-ya-ngozi-kavu/ […]

Leave a Reply