Hakuna kitu kina tia aibu na kuweza kukudhalilisha kama m’ba kwa maana kuzuia kujikuna ni mara chache sana kwa jinsi unavyo washa, sasa imagine upo sehemu za watu halafu unaanza kukuwasha. Na kwa fikra zetu waafrika huwa tuna dhani m’ba una sababishwa na uchafu basi ni madharirisho mara mbili kwamba wewe ni mchafu, lakini mba hasa husababishwa na ukavu wa ngozi au fungal infection. Una weza kutumia shampoo za kuondoa mba lakini zina ma kemikali ambayo yanaweza kukuletea matatizo ya ngozi ni afadhali ukatumia njia za asili kuwa na sisi kujua ni njia gani
- Maji ya limao (juice ya limao)
Limao ni njia moja wapo rahisi ya kuondoa mba bila kupatwa na madhara, citric acid iliyopo katika limao ina saidia kushambulia flake zinazo sababisha fangasi na ina saidia kupandisha ngozi zilizo kufa juu na kukuwezesha kuzisafisha (kuziosha) kwa urahisi.
Njia nzuri ya kutumia Limao kuondoa mba ni kwa kufuata process hizi mbili kwanza kamua kijiko kimoja cha limao bila kutia chochote (undiluted) halafu massage ngozi yako ya kichwa kwa kutumia maji hayo na uache kwa dakika tano. Halafu, step ya pili osha nywele zako kwa kutumia maji ambayo ume changanya na kijiko kimoja cha limao. Fanya hivi kila unapo taka kuosha nywele.
- CHUMVI
Hakuna asiyr nayo kwake basi hii pia ni njia nyingine ya kuondoa mba kichwani mwako, chukua chumvi kisha massage katika kichwa jaribu kufanya hivi kabla huja tumia njia nyingine ya kuondoa mba kisha tumia njia nyingine hii itasaidia kuipa njia yako ya pili kuwa effective mara mbili (Salt
- KITUNGUU SWAUMU
Namna nyingine ya kuondoa mba ni kwa kutumia kitunguu swaumu, una weza kuwaza kuhusu harufu lakini hii nni njia nzuri mno ya kuondoa mba kwa maana ina antifungal properties ambazo zina nguvu kubwa za kuondoa/kusafisha mba kwa haraka., twanga kitunguu swaumu chako na changanya na kikombe kimoja cha maji. Massage katika ngozi ya kichwa iache kwa muda wa dakika kumi kisha osha na shampoo.
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…