SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tips On How To Stay Healthy & Youthful According To Jacqueline Ntuyabaliwe
Urembo

Tips On How To Stay Healthy & Youthful According To Jacqueline Ntuyabaliwe 

Jacqueline ni moja kati ya wakwonge katika mitindo ambao bado wanaonekana vyema yaani kuonekana wadogo kuliko umri wao, wengi wetu huwa tunajiuliza anafanya nini? Mbona ngozi yake bado ipo vizuri?

Kupitia Account zake katika mitandao ya kijamii Jacqueline ame-share tips chache za namna ambavyo unaweza kuwa healthy na youthful look

  • Acha Pombe Na Punguza Matumizi Ya Sukari
  • Acha kufikiria kuhusu umri na ishi kutokana na wakati uliopo
  • Usijali sana kuhusu vitu vidogo
  • Lala vya kutosha na stay hydrated

As tunawakumbusha mara kwa mara skin care routine pekee haiwezi kukupa ngozi nzuri unahitaji ku-control life style yako pamoja na kuangalia unachokula, well tuambie kipi kati ya alivyotaja Jacqueline kinakuhusu?

Related posts