SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tips za kufanya ndevu zako kuwa nyeusi
Urembo

Tips za kufanya ndevu zako kuwa nyeusi 


Kuna njia nyingi sana za kufanya ndevu zako kuwa nyeusi. Wanaume wengi wanasumbuka sana na mionekano ya ndevu lakini wameshindwa jinsi gani ya kufanya hili ndevu zao ziwe nyeusi. Leo tunakutelea tips ambazo zitakusaidia sana kufanya ndevu zako kuwa nyeusi.

1.  Paka mafuta ya ndevu kila siku 

Najua utajiuliza sana napakaje mafuta ya ndevu kila siku basi ni simple fanya iwe tabia yako ya kila siku kama kupiga mswaki basi ukiamka paka mafuta ya ndevu zako na utaona mabadiliko makubwa sana. Ukipaka mafuta ya ndevu kila siku itachangia sana ndevu zako ziendelee kuwa strong na tonne benefit ila kitu kizuri itafanya nyevu zako zinukie vizuri.

2.  Punguza ndevu zako 

Tunajua utajiuliza kivipi nipunguze ndevu zangu basi ni kitu simple jitahidi kuweka ndevu zako katika muonekano safi yani jitaidi kupunguza na kuziweka katika shape na style ambayo itavutia watu na ukifanya ivyo itachangia kuondoa sehemu ya ndevu ambazo hazipo strong na kufanya ziote upya na kuwa nyeusi.

3.  Don’t dry out ndevu zako 

Unajua hakuna kitu kizuri kama personal hygiene basi jitaidi kuwa na uwezo wa kuzieheshimu ndevu zako usiwe na haraka sana kukausha ndevu zako kutumia mashine jitahidi ru kukausha ndevu zako kwa kutumia towels ambayo haina unyevu nyevu na itakusaidia sana. Ukidry ndevu zako itafanya ikakamae na kufanya ibadilike rangi kwa sababu ndevu ni tofauti na nywele kuna baadhi ya madini yanatofautiana kati ya nywele na nyevu ukifanya hivyo basi ndevu zako zitashine all day.

4.  Tumia products nzuri za ndevu 

Jitaidi sana kutumia best products kwa ajili ya ndevu zako kama beard wax , na aina zengine za kusaidia kukuza ndevu. Ukiweza kutumia products nzuri kwa ajili ya ndevu zako basi kila siku ndevu zako zitakuwa na muonekano ambao unavutia na nyeusi kwa sababu unatumia products ambazo zinafanya ndevu zako ziwe nzuri na nyeusi.

5.  Limit sun exposure 

Jitaidi sana kuepuka mwanga wa jua kwenye ndevu zako kwa sababu jua likipiga sana ndevu inatabia ya kupausha ndevu na kuanza kutoonekana kama hazina afya na ni mbaya machoni mwa watu. Ukiweza kuzuia mwanga wa jua itasaidia sana katika kufanya ndevu zako ziendelee kuwa nyeusi na ambazo zinavutia.

6.  Dye ndevu zako 

Jitahidi sana kupaka rangi ndevu zako yani jitaidi kupaka superblack sometimes kama ukipata mda. Usisahau kuna mda nyevu hata ukizifanya nn zitapauka tu na hapo ndo unatakiwa upake rangi ndevu zako hili kufanya zizidi kuwa nyeusi zaidi na zipendeze.

7.  Jitahidi kuchonga ndevu zako kila baada ya week

Ukiweza kufanya hivyo basi ndevu zako zitakuwa nyeusi mda wote. Unaambiwa make ups za mwanaume ni kuchonga ndevu na kunyoa basi ukijhitaidi kuchonga kila week hautoonekana unandevu mbaya na itakufanya uwe na ndevu nyeusi na muonekano mzuri mbele za watu.

8.  Vaa nguo nyeusi 

Unaambiwa ukivaa nguo nyeusi basi itafanya hata ndevu zako ziwe nyeusi si kuna baadhi ya maneno unaambiwa ukikaaa na mchawi basi na wewe utakuwa mchawi ndo kama ndevu zinareflect nguo ulizovaa ukitaka kujua angalia watu wengi wenye ndevu nyingi hupendelea kuvaa nguo nyeusi kwa sababu inafanya ndevu ziwe nyeusi na nzuri mda wote.

Asante kwa mda wako ni matumaini yetu umetuelewa na umependa tips hizi ambazo zitakusaidia sana. Kama hizi tips zitakusaidia kufanya ndevu zako ziwe nyeusi usisahau kupiga picha ndevu zako na sisi tutare

Imeandikwa na @gotchathegreatest

Related posts