SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tiwa Savage For Allure Best of Global Beauty issue
Urembo

Tiwa Savage For Allure Best of Global Beauty issue 

Tiwa Savage ametokea katika cover ya gazeti la Allure Best of Global Beauty issue, hii ni hatua nyingine kubwa kutoka kwa Tiwa baada ya kuwa featured katika vogue magazine miaka michache nyuma.

Katika gazeti hili la Allure Tiwa ameongelea zaidi kuhusu kukubali ngozi yake na kupata ushauri kutoka kwa mwanamitindo maarufu Naomi Campbell.

Tiwa is real setting the bars high for Nigeria tunatamani na sisi sikumoja tufikie level hizi, sio tu kwa wanamitindo bali wanamuziki wetu pamoja na waigizaji, well hizi ni baadhi ya looks kutoka kwa Tiwa katika feature yake hii kwenye Allure.

Unaweza kuingia hapa kusoma zaidi Tiwa Savage, the Queen of Afrobeats, Fights the Patriarchy

Related posts

4 Comments

 1. แทงบอล ufabet

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/tiwa-savage-for-allure-best-of-global-beauty-issue/ […]

 2. เซ็กซี่บาคาร่า

  … [Trackback]

  […] There you will find 54385 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/tiwa-savage-for-allure-best-of-global-beauty-issue/ […]

 3. remington firearms

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/tiwa-savage-for-allure-best-of-global-beauty-issue/ […]

 4. buy magic mushroom microdose capsules online Australia

  … [Trackback]

  […] There you can find 33624 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/tiwa-savage-for-allure-best-of-global-beauty-issue/ […]

Comments are closed.