SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TOFAUTI KATI YA HUMAN HAIR WEAVING NA SYNTHETIC HAIR WEAVING
Hair

TOFAUTI KATI YA HUMAN HAIR WEAVING NA SYNTHETIC HAIR WEAVING 

Kuna tofauti kubwa kati ya Human Hair Weaving na Synthetic Hair Weaving tofauti hio ni kwamba Human Hair Weaving ni zile nywele zinazo tengenezwa kutokana na nywele za binadamu kweli wakati Synthetic Hair Weaving hutengenezwa kwa ma kemikali ndio maana hizi ukizipass kwa moto mkali kidogo zinaweza kuyeyuka. Na kwa sababu hio ndo maana wengi huita maweaving Original na maweaving Fake.

Tofauti za hizi nywele katika matumizi.

 •  Nywele 100% human hair zinaweza kutengezwa style tofauti tofauti kwa kutumia vifaa vya moto,unaweza kuziosha zikawa safi ukazitumia mda mrefu zaidi.
 • Nywele 100%human hair hazihitaji kuongezewa kitu chochote zaidi ya kile unachokiweka katika nywele zako.
 • Human hair zikijichanganya na nywele zinazofanana rangi huonekana ni nywele za mtu zote.
 • Human hair unaweza kuzi pass kuzi seti,kubadilisha rangi   n.k

elfin-peruvian-virgin-font-b-hair-b-font-straight-font-b-100-b-font-font-b

 

 • Nywele feki(synthetic) huwa zinakuja zimeshaweka mtindo,mawimbi nk hivyo hazihitaji kufanywa chochote.
 • Nywele feki huwa zinaleta mjazo wa nywele hivyo ni faida kwa watu wenye nywele chache.
 • Human hair hukaa hata mwaka lakin fake huweza kudumu mwezi mmoja hadi mitatu.
 • Nywele feki huwezi kuzitia rangi wala kuziseti tofauti na ulivozinunua.
 • Nywele feki hufaa kwa watu wanaoziweka kwa ajili ya matukio maalumu ya muda mfupi.
 • Nywele 100% human hair ni gharama kiasi ukilinganisha na fake hair.

85_BATIK DUO BRAZILIAN SHORT BUNDLE 5PCS_L

Kulingana na bajeti yako na uhitaji wako wa nywele ndio unaweza kuamua itakufaa ipi. Kama unataka bei nafuu tafuta synthetic hair lakini kama unataka nywele inayodumu basi nunua  100% human hair.

Related posts

3 Comments

 1. Buy Ecuadorian Magic Mushrooms Online Australia

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/tofauti-kati-ya-human-hair-weaving-na-synthetic-hair-weaving/ […]

 2. spankbang bbw big boobs blonde chubby dildo cam

  … [Trackback]

  […] Here you will find 69063 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/tofauti-kati-ya-human-hair-weaving-na-synthetic-hair-weaving/ […]

 3. Bubble Tea

  … [Trackback]

  […] There you can find 3831 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/tofauti-kati-ya-human-hair-weaving-na-synthetic-hair-weaving/ […]

Leave a Reply