SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Top 5 Trending Accessories 2018
Urembo

Top 5 Trending Accessories 2018 

Mavazi yanachukua asilimia 90 katika kupendeza lakini 10% zinaenda katika accessories, zinaweza kuwa asilimia ndogo mno lakini ukizivaa vibaya zina haribu muonekano mzima na kama ukizipatia zinapandisha mtoko wako kwa asilimia kubwa zaidi Micheal Kros once said “accessories are the exclamation point of a woman” by that been said leo tunakuletea Top 5 trending accessories za mwaka huu,

Beret  – kama ambavyo tuliziandikia mara ya kwanza, beret zime trend na zimekuwa a good replacement pale unapo taka kuto kuvaa wigs au kusuka nywele unaweza ku put-on outfit yako na kuistyle vizuri with a beret, trend setters mbalimbali wameonekana kuvutiwa na trend hii akiwepo Rihanna, Beyonce, Vanessa Mdee na hata Juma Jux na wengine wengi. Kitu kizuri kuhusu trend hii ni kwamba unaweza kuvalia chochote, casual, night event na hata business outfits.

Matrix Sunglasses – Matrix Sunglasses au micro-sunglasses zipo kila sehemu almost kila mtu maarufu amezivaa hizi miwani, well ni vimiwani fulani vidogo ambavyo havizibi macho yote, zilikuepo zamani kidogo as we all know the 80’s are back basi hizi nazo zime rudi kwenye trend watu maarufu mbalimbali wameonekana wakiwa wamezivaa akiwepo Kendall Jenner, Gigi Hadid lakini hapa kwetu tumemuona sana Mimi Mars na dada yake Vanessa Mdee.

Fanny Packs –  Fanny Packs zina trend sana kwa sasa fashionista’s, hijabista’s, celebrities wanazivaa sana kama huna go get yourself one na kwa bahati nzuri zinapatikana hadi mitumbani ni wewe tu na uwezo wako wa kifedha, tumewaona watu maarufu mbalimbali hapa kwetu kama Linah Sanga, Dogo Janja, Juma Jux, Rayvanny na wengine wengi wakiwa wame rock vijipochi hivi vya kiunoni.

 

Mis – Matched Earrings – waswahili husema “kanuni zimewekwa hili zivunjwe na hapa ndipo msemo huu unapo onekana, ingawa tumezoea kuona hereni zikivaliwa zikiwa zimefanan trend sasa hivi ni kuvaa hereni tofauti tofauti hii trend tuliiona katika video ya Mimi Mars na alipendeza mno.

The Off White Industrial Belt – well itakua umekutana nayo huko katika social media, every fashionista ana hii belt ina fanya mtoko wako u-pop unaweza kujipatia yako kwa style yoursoul co

Unapo weza kupata hizi trending accessories

Matrix Sunglasses – Accessoriez_tz

Beret – accessories_tz & Mia_designs

Fanny Pack – Fatma8five

Mis-matched earrings – Manyatta_101

The industrial off white belt – style your soul clo

 

 

Related posts

3 Comments

 1. counseling san diego ca

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/top-5-trending-accessories-2018/ […]

 2. Codeless automation framework

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/top-5-trending-accessories-2018/ […]

 3. mushrooms for sale online​

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/top-5-trending-accessories-2018/ […]

Comments are closed.