Mikanda ipo tangu na tangu huwa inabadilika tu styles kuna waist belts, corset belts, purse belts etc lakini pia material yanabadilika kuna zile za suede, lather, kuna metallic pia ili mradi unapata kile unapenda pia kuna tofauti ya sizes hii hutokana na msimu na trends, kuna kipindi mikanda myembamba huwa ina trend sana wakati mwingine size ya kati na wakati mwingine mikubwa lakini safari hii belt zimekuja kivingine kabisa. Belt zimekuja zikiwa ndefu mno yes sio kipimo kile cha kawaida siku hizi belt inafika hadi magotini,

Mara ya kwanza kuona belt ndefu hivi ilikuwa kwa bi Dada Rihanna, ambapo alivaa hii belt kubwa na ndefu tuliyo ona amekuwa inspired na Santa cruise

Lakini pia tumewaona watu maarufu wengine kama Kylie Jenner akiwa amevalia hii trend, Kylie yeye alivaa double denim huku coat yake akiwa amevalia na huo mkanda mrefu wa blue

Juzi tumemuona mwanadada Jeniffer Lopez akiwa kwenye redcarpet nae akiwa amevalia trend hii in a blue dress

Lakini pia fashion bloggers nao wameonekana kuipenda trend hii maana tumeona baadhi yao wakiwa wamerock mikanda hii

Kusoma trend nyingine ya mkanda bonyeza hapa

kwa Tanzania unaweza kuipata hapa styleyoursoul_clo