SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Trending – Braids & Beads
Hair

Trending – Braids & Beads 

So braids & Beads are actually a thing kwa sasa, mara ya kwanza tuliiona kwa Solange kisha tukaona Vanessa Mdee kutoka Tanzania akiwa amesukia

na tukasema tumeipenda hii trend na tulikua about kuirock, kwa sasa ndio style inayo tamba huko mitandaoni na ulimwenguni huwezi kuto kuiona kwa siku katika timeline yako na tunapenda jinsi African Culture ina kuwa praised kwa sasa (can we get an Amen?) tuna vitu vizuri kupitia Fashion lakini tunapenda kuiga vya wenzetu seems like tume amka na tuna claim whats ours, unaweza kusuka vitunguu, mminyoosho etc uka accessorize na beads, angalia Inspiration za jinsi ambavyo unaweza kusuka nywele hizo kutoka wa watu maarufu na wasio maarufu

Jpkate Mwegelo

Beyonce

Alicia Keys

Sugar Hill

Braids & Beads Inspiration

Top knots

Huitaji kusukia full kichwa unaweza kusuka nusu tu ukawa on trend & chic

Mix them up (stay Unique)

Afican Beads are life linapo kuja swala la huu mtindo

Je utasukia? kama ukisukia hakikisha una tutag we will gladly repost you.

 

Related posts

7 Comments

  1. psychedelic mushroom chocolate bars effects

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-braids-beads/ […]

  2. แทงบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-braids-beads/ […]

  3. weed delivery toronto

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-braids-beads/ […]

  4. unicvv alternative

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-braids-beads/ […]

  5. Gun SHOP USA

    … [Trackback]

    […] There you can find 67845 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-braids-beads/ […]

  6. Seoul Pod Infinity

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-braids-beads/ […]

  7. เว็บสล็อต

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-braids-beads/ […]

Leave a Reply