Baada ya kuona braid & beads ziki trend kwa muda ikaja ankara braids lakini kwa sasa inaonekana BoHowdy, Bloggerb Cut imeingilia kati watu wengi maarufu wameonekana wakiwa katika style hii ya nywele, tumeona jinsi ambavyo watu maarufu wengi wali rock hii style katia BET Awards wiki chache zilizo pita watu kama
Mwanamuziki Cardi B walioekana wakiwa wame weka hii blonde bob cut style
Tamar Braxton
Walionekana wakiwa wame rock hair style hii ya bob katika Tamasha hilo la BET Awards, lakini kwa hapa Tanzania tumeona watu maarufu wengine nao wakiwa wame amka na kuweka hii hair style kama
Wema Sepetu yeye ameonekana in gray & Black Bob weave
Jokate Mwegelo naye ameonekana kuto kutaka kupitwa na style hii ambapo yeye aliamua kuweka short bob weave ambayo amependeza mno (you just can’t un seen the makeup)
Lakini Vanessa Mdee nae ameonekana katika hii hair style pia
Una weza ukachagua jinsi ya kuweka style hii una weza ukaweka ndefu kidogo, fupi lakini ina weza ikawa weaving, wig au hata rasta.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-hair-bob-hair-style/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-hair-bob-hair-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-hair-bob-hair-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-hair-bob-hair-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/trending-hair-bob-hair-style/ […]