Juma lingine limeanza na ni mwanzo wa mwezi wa saba, siku zinakimbia right? lakini katika habari za mitido kuna igizo jipya kwa sasa kinacho trend katia dunia ya mitindo ni colored shield sunglasses (hizi ni miwani zenye rangi rangi). Tumeziona kwa watu maarufu wengi akiwepo mwanamitindo mkubwa Gigi Hadid

Reality show super star na Mrs West, Kim Kardashian

Lakini pia mwanamuziki (Rapper) Nicki Minaj ameonekana kuvaa hizi miwani pia

kwa hapa wetu bongo tuliye muona nazo mara nyingi ni moja kati ya fashionable men kibongo bongo mwanamuziki Juma Jux ambapo tunahisi kwa sasa hii ndio accessory yake pendwa

Yellow Sunnies alizo match na shirt yake

all burgundy everything

Yellow Sunnies

Je ni wapi tazipata? kwa hapa Tanzania katika tafuta tafuta zetu tumezipata katika hili online shop Instagram accessories_tz

https://www.instagram.com/p/BV-GwicHnMu/?taken-by=accessories_tz&hl=en

well usisahau kusoma article nyingine kuhusu trending acessories hapa