SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TrendyTuesday – Led Eyelashes ( Trendy Alert)
Make Up

TrendyTuesday – Led Eyelashes ( Trendy Alert) 

Ni jumanne nyingine ya kuongelea nini kina trend katika ulimwengu wa mitindo na urembo ni Led Eyelashes, hizi ni zile kope za bandia yes kwa muda mrefu zimekuwepo wakati zinaanza kuwekwa ilikua kichekesho maana zilikuwa zina bandikwa ndefu na zinaonekana kabisa hizi ni fake mtu anaonekana kama mdoll lakini kwa sasa zimeendelea kufanyiwa marekebisho ni ngumu kutambua mtu kama kabandika kope, sasa hizi Led eye lashes (Led kope) kwa sasa zimeongezewa kama taa kwa juu, Dunia ina mambo enhe? una weza kuwaza sasa hizi taa za kazi gani?

Hizi kope zina wire ambao unaenda nyuma ya sikio na huko ndipo utakapo weza kuwasha taa zako (kazi kweli kweli) mbunifu wa Kope hizi Tien Pham ambae amezipa jina la F Lashes amesema bado anaendelea kuziboresha ili kuondoa bugdha ya hiko ki-wire,

pia amesema zina sweat proof na hazi sababishi upofu “I often can’t tell if I have them turned on…you might see a bit of light when you walk in to a dark room but it’s not much. Zinakuja katika rangi saba na zinabadilika kutokana na movement zako na pattern ulizo vaa.

Tuambie je utakuwa tayari kuzijaribu? na kama ndio utaziweka ukiwa unaenda wapi? usisahau kusoma kinacho trend upande wa urembo kwa upande wa nywele kwa sasa click hapa

Related posts

5 Comments

  1. ufabet

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/trendytuesday-led-eyelashes-trendy-alert/ […]

  2. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/trendytuesday-led-eyelashes-trendy-alert/ […]

  3. pmma crystallinity,

    … [Trackback]

    […] Here you can find 32680 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/trendytuesday-led-eyelashes-trendy-alert/ […]

  4. Ventilatoare in linie pentru tubulatura

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/trendytuesday-led-eyelashes-trendy-alert/ […]

Leave a Reply