SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Try These Celeb Inspired Eid Makeup Looks
Urembo

Try These Celeb Inspired Eid Makeup Looks 

Sikukuu ya Eid inakaribia na inawezekana umeshapata vazi lako au bado unatafuta, mara nyingi huwa tunajiandaa kimavazi na vyakula na tunasahau kuhusu looks zetu usoni, kutona na kufunga kwa mwezi mzima, kuchoka na mapishi ya hapa na pale sikukuu hii inaweza kukuta ngozi yako ikiwa imechoka basi what a great way kuchangamsha ngozi ya sura yako kama si kupaka makeup inayofaa kwenye hii festival season?

Well tuna watu maarufu kadhaa ambao wanaweza kuku-inspire na makeup looks zao kutokana na unapoenda na mapenzi yako na makeup unaweza kuwa extra, medium au minimum.

Fahyma & Hamisa

Gigy Money & Batuli

Well tuambie kwako umeona maukeup ya nani ndio itakufaa zaidi?

Related posts

1 Comment

  1. weed delivery toronto

    … [Trackback]

    […] There you will find 67793 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/try-these-celeb-inspired-eid-makeup-looks/ […]

Comments are closed.