SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tumia Chumvi Na Mafuta Ya Mzeituni Kupata Mikono Laini
Skin Care

Tumia Chumvi Na Mafuta Ya Mzeituni Kupata Mikono Laini 

Unashauriwa kunywa maji kwa wingi na kisha kutumia njia zifuatazo iwapo unataka mikono na viganja kuwa laini;

 • Njia ya kwanza

Weka sabuni ya maji ya kuoshea mikono, baada ya kuosha mikono, Kausha mikono yako vizuri

Chukua bakuli, weka chumvi vijiko viwili.

Ongeza vijiko viwili vya mafuta ya mizeituni.

kisha weka mchanganyiko huo kwenye viganja vyako kiasi cha ½ kijiko kisha sugua polepole.

Sugua ndani na nje ya viganja na ndani ya vidole na kucha.

Osha kwa maji ya uvuguvugu

Kisha kausha mikono kwa kutumia taulo kavu.

Malizia kwa kupaka losheni yako kama kawaida.

 • Njia ya pili

Osha mikono na maji ya uvuguvugu na sabuni ili kuondoa mafuta na bakteria.

Kausha mikono na taulo kavu.

Chukua sukari vijiko 2 na mafuta ya mizeituni pia vijiko viwili.

Pakaa mikononi.

Sugua mikono yote kwa pamoja ndani na nje kwa kutumia mchanganyiko huo.

Osha mikono kwa maji ya uvuguvugu

Kausha mikono yako kisha upake rose water, Unaweza pia kutumia sunflower oil au mafuta ya nazi.

 • Mambo muhimu ya kuzingatia

Usifanye mara moja ukategemea matokeo ya kudumu.

Paka baby oil au losheni kabla ya kulala.

Vaa glovu wakati unafanya kazi kama kuosha vyombo.

Tumia mafuta ya Vaseline.

Kwa mikono mikavu zaidi unaweza kulala na glovu baada ya kupaka losheni kwenye mikono yako.

Usiache mikono kwenye maji baridi kwa muda mrefu kwa sababu kufanya hivyo kunachangia kuondoka kwa mafuta na unyevu wa asili mikononi.

Shea na uwapendao 

©binturembo 

Related posts

7 Comments

 1. check that

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/tumia-chumvi-na-mafuta-ya-mzeituni-kupata-mikono-laini/ […]

 2. สร้างเว็บไซต์

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/tumia-chumvi-na-mafuta-ya-mzeituni-kupata-mikono-laini/ […]

 3. pictures of molly drug,

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/tumia-chumvi-na-mafuta-ya-mzeituni-kupata-mikono-laini/ […]

 4. buy golden teacher mushroom online hack

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/tumia-chumvi-na-mafuta-ya-mzeituni-kupata-mikono-laini/ […]

 5. browse around here

  … [Trackback]

  […] There you will find 82032 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/tumia-chumvi-na-mafuta-ya-mzeituni-kupata-mikono-laini/ […]

 6. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/tumia-chumvi-na-mafuta-ya-mzeituni-kupata-mikono-laini/ […]

 7. albino penis envy magic mushrooms

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/tumia-chumvi-na-mafuta-ya-mzeituni-kupata-mikono-laini/ […]

Comments are closed.