SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TUMIA VASELINE KUKUZA NYUSI/KOPE
Urembo

TUMIA VASELINE KUKUZA NYUSI/KOPE 

Imekua tabia ya wanawake wengi kuweka kope za bandia lakini wakati mwingine hizi kope huleta madhara,macho kupofuka au kope kugoma kutoka. Leo tunawaletea njia rahisi ya kukuza nyusi/kope zako, haihitaji fedha nyingi kwa sababu vitu vinavyo tumika wengi tunavyo na pia haina madhara. Faida yake kubwa ni kwamba nyusi/kope zako zinakua zako moja kwa moja kwa hio muonekano huu ni wa milele.

safisha vizuri brush yako ya mascara ili kuondoa ule weusi wa mascara fuata hizo step tatu katika picha
670px-Make-Eyelashes-Longer-with-Vaseline-Step-1-Version-3

670px-Make-Eyelashes-Longer-with-Vaseline-Step-2-Version-3

670px-Make-Eyelashes-Longer-with-Vaseline-Step-4-Version-3

kama ulikua ume vaa make up au ume paka mafuta yoyote nawa hata hivyo inabidi upake haya mafuta usiku
670px-Make-Eyelashes-Longer-with-Vaseline-Step-5-Version-3
chukua brush yako na uiweke mafuta ya vaseline
670px-Make-Eyelashes-Longer-with-Vaseline-Step-7
kisha baada ya hapo paka mafuta yako kama ambavyo unavyo pakaga maskhara
670px-Make-Eyelashes-Longer-with-Vaseline-Step-8
fanya hivi kwa muda wa wiki na utaona matokeo unaweza kuendele kufanya mpaka pale utakapo ridhishwa na urefu wa nyusi/kope zako

Related posts

1 Comment

  1. แทงบอล

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/tumia-vaseline-kukuza-nyusikope/ […]

Leave a Reply