SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tutegemee Card Za Mualiko Wa Birthday Ya Style Ya Nywele Za Harmonize
Hair

Tutegemee Card Za Mualiko Wa Birthday Ya Style Ya Nywele Za Harmonize 

Colorful hair styles ndio trend ya mwaka huu tumeona baadhi ya watu maarufu mbalimbali wakiwa wameweka rangi katika nywele zao, watu kama Kim Kardashian, Jaden Smith na Chris Brown wameonekana wakiwa na style hii lakini hawa tumesha wazoea hapa kwetu tumeona wasanii kadhaa wakiwa wame dare kupaka rangi kwetu sisi it’s a yes tunapenda tunacho kiona as tulisha choka kuona hair styles mbili tu kwa wasanii (blonde & virasta) ilishakuwa common tayari.

Wasanii kama Ben pol, Vanessa Mdee, Ali Kiba Na Lavalava wameonekana wakiwa wameweka nywele zao rangi well tunasikia siku hizi mashuleni watoto wakiulizwa R for what? Alikiba yaani Red, O For Orange yaani Vee na G for Ben Pol Yaani Green, we love the daring a simple tip kwenye hili ni kwamba wakati kinyozi anachagua rangi ya kukupaka aangalie na rangi yako ya mwili, wakati tuna washeherekea hawa tuulize je? Mwanaume anatakiwa kwenda kwa kinyozi mara ngapi kwa mwezi?

Mna weza mkawa mnajiuliza kwanini tumeuliza hili swali ni kwamba msanii  harmonize ikifikia mwaka huu April 17 style yake ya nywele inafikisha mwaka, tutegemee card za are you invited katika kusheherekea mwaka mmoja wa hair style ya Harmonize. Mara ya kwanza kumuona na hair style hii ilikuwa tarehe 17/4/2017 ambapo hajabadilisha mpaka sasa.

Wengi watauliza Afroswagga mmejuaje au mbona tunaona picha nyingine ana nywele nyeusi baada ya hio aliyo debut, kama utaaangalia vizuri kupitia ukurasa wake wa instagram picha nyingi anazopost akiwa na nywele nyeusi ni za zamani, ambazo alisha zipost au yupo katika wimbo ambao alikuwa na nywele nyeusi lakini currently picha zote ambazo anaonekana kwenye video’s mpya au matamasha mbalimbali ana blonde hair.

Tunadhani ni muda muafaka way eye kubadilisha style yake ya nywele, unless otherwise awe anataka style hii ya nywele ifanyiwe birthday party

Kama msanii tunadhani ni vyema kuonekana wa tofauti mara kwa mara, kama ambavyo wengine wana fanya Ben Pol amesha ondoa nywele za kijani, Kim Kardashian, Chris Brown wote wamesha change Harmonize mwenzetu unasubiri nini? au ndiyo umeenda kufanya upasuaji wa blonde hair ufanane na ukweni ( shade).

 

Je wasomaji wetu nyinyi mnaonaje? abadilike au lah?

Related posts

2 Comments

  1. Golden Teacher Mushrooms for sale Victoria

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/tutegemee-card-za-mualiko-wa-birthday-ya-style-ya-nywele-za-harmonize/ […]

  2. Cambodian Magic Mushrooms for sale online,

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/tutegemee-card-za-mualiko-wa-birthday-ya-style-ya-nywele-za-harmonize/ […]

Comments are closed.