SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

UCHAGUZI WA MANUKATO AMA PERFUMES KWA WAKAKA
Dondoo

UCHAGUZI WA MANUKATO AMA PERFUMES KWA WAKAKA 

Hii yaweza kuwa imewakumba wengi ambapo waweza kutana na mtu katika usafiri yaani daladala ama kwenye sherehe ama tukio lolote na kushangwaza na harufu ya manukato atumiayo maana baadhi yetu tumekuwa ni wanunuzi wa perfumes zisizoeleweka na kuwa na harufu
kali sana hata kuwakosesha raha wenzetu.
Katika hili ni tuzungumzie njia ama uchaguzi sahihi wa perfumes ama deodorants kwa akina kaka ili kuondoa adha ya mtu kukimbiwa
ama kukwaza watu na kuwakosesha raha.
Kwa akina kaka kuna brands za deodorants ama perfumes ambazo zinapendwa  kutumiwa na wengi kwa kuwa zina harufu nzuri na ni za beirahisi. So one can go for any NIVEA,
AXE kwa wenye kipato kidogo.
 Na kwa huge spenders kuna brands kamazijulikanazo kuwana harufu nzuri kwa watumiaji wake kama Issey Miyake
ama 212 Sexy,
Article by @willibard_jr

 

Related posts

4 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/uchaguzi-wa-manukato-ama-perfumes-kwa-wakaka/ […]

 2. modesta coating

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/uchaguzi-wa-manukato-ama-perfumes-kwa-wakaka/ […]

 3. read what he said

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/uchaguzi-wa-manukato-ama-perfumes-kwa-wakaka/ […]

 4. Primoteston bayer

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/uchaguzi-wa-manukato-ama-perfumes-kwa-wakaka/ […]

Leave a Reply