SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Umuhimu Wa Kupaka Sunscreen Katika Ngozi
Skin Care

Umuhimu Wa Kupaka Sunscreen Katika Ngozi 

Sun Screen ni moja kati ya skin care product ambazo ni muhimu kupaka katika ngozi yako well na hii si summer tu au uendapo beach lakini inapaswa kupakwa mara kwa mara kwa sababu ina faida nyingi katika ngozi ( cha kushangaza watu/wa Africa wengi hatuna utaratibu wa kupaka sun screen) come rain come sun, sun screen ni skin care product unahitaji kupaka kila siku katika mwaka, with our weather ambapo muda mwingi ni jua “YOU NEED SUNSCREEN”

Labda unajiuliza sunscreen ni nini?  Sun screen ni lotion au cream ambayo imetengenezwa kulinda ngozi na jua

  • Inasaidia kukufanya uonekane kijana

Sababu namba moja ambayo husababisha kuzeeka mapema ni kutoka na kuacha ngozi wazi, miale ya jua inapiga moja kwa moja katika ngozi, lakini unapopaka sun screen inasaidia kublock ile miale ya jua kuingia moja kwa moja kwenye ngozi hii husaidia kupunguza kupata mikunjo ya uzee mapema.

  • Inasaidia kuondoa/kutokupata madoa ya jua

Kama umeshawahi kuona au kusikia mtu kapatwa na yale madoa ya kuungua na jua anaweza kuwa mwekundu au brown katika ngozi kutokana na ngozi kupigwa na jua mara kwa mara, basi jibu la kuondokana na hali hii ni kupaka sun screen husaidia kutokupata madoa haya na kufanya ngozi yako iwe na rangi moja.

 

  • Inapunguza hatari ya kupata cancer ya ngozi

Kupaka sunscreen katika ngozi hakukuepushi tu na hatari za urembo lakini pia inasaidia katika afya, sun screen huepusha ngozi yako na hatari za aina mbalimbali za kansa ya ngozi, hasa kansa aina ya  melanoma. Hii ndiyo aina mbaya zaidi ya kansa ya ngozi, ambayo inaweza kuwa hatari kwa wanawake, hasa wale walio katika miaka yao ya 20.

Sunscreen zina faida nyingi nyingi lakini hizi ndizo tatu muhimu tulizoona tukuletee, well kuna aina nyingi za sun screen the best way kujua ipi inakufaa ni kwenda katika maduka ya vipodozi ambayo kuna dokta wa ngozi ndani yake anaye weza kukuelezea vizuri kabisa ni aina ipi inakufaa.

 

Related posts

5 Comments

  1. ไซด์ไลน์

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/umuhimu-wa-kupaka-sunscreen-katika-ngozi/ […]

  2. turners outdoorsman

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/umuhimu-wa-kupaka-sunscreen-katika-ngozi/ […]

  3. สินเชื่อโฉนดที่ดินเปล่า

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/umuhimu-wa-kupaka-sunscreen-katika-ngozi/ […]

  4. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/umuhimu-wa-kupaka-sunscreen-katika-ngozi/ […]

  5. meditation music

    meditation music

    meditation music

Comments are closed.