SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

UNA TUMIA KIPODOZI GANI
two young woman having a glass of wine on rooftop
Skin Care

UNA TUMIA KIPODOZI GANI 

Una Tumia Kipodozi Gani? Nadhani ulisha wahi kuulizwa au kumuuliza mtu hilo swali, una weza kukutana na msichana mwenzio ana ngozi nyororo hana hata kipele uka tamani ujue ana tumia kipodozi gani ili na wewe uka tumie… hii ime kuwa kawaida kwetu sisi wadada bila kujali ngozi yako ya aina gani ukitajiwa tu natumia kipodozi fulani basi kesho na wewe una amka kwenda kununua.

Ngozi yako itakuwa nyororo na isiyo na vipele kama tu uta kula vizuri, kunywa maji vizuri na kutumia vipodozi vinavyo endana na ngozi yako, kuna aina tofauti tofauti za ngozi kwetu sisi binadamu, kuna wale wenye ngozi zenye mafuta  na wale wenye kavu, huwezi kupata matokeo mazuri aliyo yapata mwenzio endapo yeye ngozi yake ni tofauti na yako, utakuta una ingia gharama kubwa kununua hicho kipodozi na kisilete mafanikio mwisho wake wengi wetu tuna sema fulani ana roho mbaya kani tajia kipodozi sio au duka fulani lina uza vitu feki kwa sababu tu huja pata yale matokeo uliyo kuwa una yategemea.

Kama una taka kipodozi ni vyema ukaenda kwa wataalamu wa ngozi ili upate msaada zaidi au tumia njia za asili ili kuepukana na madhara au kupunguza cost katika manunuzi ya vipodozi

njia rahisi za kupata ngozi nyororo na yenye afya ni pamoja na

1) tumia brush soft kujisugulia ngozi wakati wa kuoga, ni vizuri ukatumia natural brush kama dodoki, tumia brush hii kujisugua wakati ngozi yako ikiwa kavu na brush ikiwa kavu

aid645612-728px-Get-Your-Skin-Silky,-Smooth,-Soft,-Shining-and-Healthy-Step-1-Version-2

b) oga maji ya uvuguvugu masafi

c) usitumie sabuni nyingi kwenye ngozi, sabuni nyingi zina makemikali ambayo yana weza kusababisha ngozi kuwa kavu sana, kubabuka etc pia ni vizuri kama uta tumia sabuni za asili kama sabuni za asali, manjano nk

d)hakikisha baada ya kuoga una paka mafuta immediately, ili kuifanya ngozi yako kuwa na unyevu.

2)Angalia unacho kula

aid645612-728px-Get-Your-Skin-Silky,-Smooth,-Soft,-Shining-and-Healthy-Step-8-Version-2

kunywa maji mengi, kula matunda kwa wingi pia usinywe vitu ambavyo vina weza kuathiri ngozi yako kama kahawa nyingi, vilevi na chumvi nyingi

3) anza tabia ya kuacha kufanya ngozi yako kuonekana dull

aid645612-728px-Get-Your-Skin-Silky,-Smooth,-Soft,-Shining-and-Healthy-Step-11

a) tumia sunscreen kuepusa ngozi yako kupigwa na jua

b)usilale na make up

c)acha kutumia vipodozi vyenye kemikali nyingi

 

 

Related posts