The weekend has landed, na kama kuna vitu ambavyo vinahuwa vinatia stress ni mavazi na makeup gani upake kama una mtoko weekend. Well we say no more, leo tunakuletea baadhi ya makeup ambazo tumeziona kutoka kwa watu maarufu mbalimbali ambazo tumekutana nazo na zinaweza kuku-inspire on your next face beat

Fashionista Julitha Kabete akiwa in a clean face beat by @divaglam_beauty  Kama si mpenzi wa shouting makeup hii inakufaa sana.

Hands down for this face beat by @misanamakeup_ , Selina looks gorgeous in this makeup, kama una harusi ya kuhudhuria inafaa sana talking about making a statement.
Jacqueline Wolper giving us nude lips, makeup done by  @sallymo_beauty

well afromates makeup ipi imekuvutia zaidi?