SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo Katika Msimu Wa Ramadhani
Urembo

Urembo Katika Msimu Wa Ramadhani 

UREMBO KATIKA MSIMU WA RAMADHANI

Watu wengi wanahisi ngozi zao zinadhoofu na kukauka katika msimu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, lakini hii ni kwa sababu ya mabadiliko ya lishe katika mwili wako.

Ni nini ufanye ili uendelee kuwa mrembo katika msimu huu:

 • Kunywa maji mengi: hiki ni kitu muhimu sana ambacho kila mtu ana takiwa kukifanya

images

 • Oga maji ya uvugu vugu: usioge maji ya moto yana kausha ngozi,oga maji ya uvuguvugu
 • Usile vyakula vyenye mafuta na usinywe soda: iftar ndo chakula chako cha kwanza katika siku kwaio ifanye kuwa mlo bora usifungue funga yako na soda na chakula chenye mafuta
 • Kunywa chai ya kijani katika daku: kunywa chai ya kijani kuna kupa ngozi yako afya na inakupa pumzi nzuri siku inayo fuatia

greentea

 • Kunywa maziwa ya mgando kila siku: inasaidia kukufanya ushibe kwa muda mrefu na inaipa ngozi yako afya
 • Tumia viazi kuondoa weusi katika macho: kawaida tunaamka usiku sababu ya kula daku, kwaio ni lazima tupate weusi chini ya macho yetu eidha kwa uchovu au kukosa usingizi, kata viduara vya kiazi na weka katika macho yako kwa dakika 10-15 kila siku

product_potato

Related posts

5 Comments

 1. weed

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-katika-msimu-wa-ramadhani/ […]

 2. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-katika-msimu-wa-ramadhani/ […]

 3. modesta

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-katika-msimu-wa-ramadhani/ […]

 4. you can try these out

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-katika-msimu-wa-ramadhani/ […]

 5. 웹툰 마스크걸 다시보기

  … [Trackback]

  […] Here you can find 32003 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-katika-msimu-wa-ramadhani/ […]

Leave a Reply