SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

UREMBO RAHISI UTAKAO KUFANYA U SAVE HELA
Urembo

UREMBO RAHISI UTAKAO KUFANYA U SAVE HELA 

Tumia dawa ya mswaki kuondoa chunusi, paka dawa ya mswaki sehemu yenye chunusi kabla ya kwenda kulala, rudia zoezi hili kila siku mpaka chunusi itakapo isha.

toothpaste-for-acne-600x401

Tumia Baking Soda kung’arisha meno

chukua robo kijiko ya baking soda changanya na dawa mswaki, piga hakikisha huli wala kunywa chochote baada ya kutumia njia hii. Fanya hivi mara moja kwa wiki.

yellow-teeth-remedy-600x400

njia nyingine ni kuchukua ganda la chungwa na tumia kule ndani kweupe kusafishia meno yako fanya hivi kila siku kabla ya kwenda kulala kwa wiki nzima

Tumia Wax ya sukari kuondo nywele usizo zitaka

sugar-wax-unwanted-600x400

unaweza ukawa na nywele juu ya midomo,miguuni au popote na zina kukera huzitaki ila kunyoa na kiwembe una ogopa mapele basi njia hii inaweza kukusaidia,

changanya vijiko viwili vya sukari, kijiko kimoja cha asali na kijiko kimoja cha maji

pasha moto kwa dakika 20 hadi 30 ina weza ikawa kwenye micro wave au jiko la kawaida

iache ipoe kisha tumia kijiko au kijiti kupaka mchanganyiko wako kwenye sehemu ambapo una taka nywele hizo ziondoke

tumia kijipande cha nguo kufunikia wax yako hapo ulipo ipaka

kisha toa kipande iko cha nguo kwa nguvu ili kuondoa nywele hizo

Related posts

3 Comments

  1. แทงบอล ufabet

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-rahisi-utakao-kufanya-u-save-hela/ […]

  2. that site

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-rahisi-utakao-kufanya-u-save-hela/ […]

  3. ソープ エロ

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-rahisi-utakao-kufanya-u-save-hela/ […]

Leave a Reply