Weekend ndio tunapata muda wa kupumzika na makazi ya ofisini na kupata muda wa kujifikiria sisi wenyewe, saa nyingine mtu hujisikii kutoka una tamani tu ukae ndani upumzike lakini si mbaya kama ukafanya vitu vingine vidogo vidogo ambavyo havichoshi lakini vina manufaa katika kukufanya uendelee kuonekana mrembo, unaweza kutumia weekend yako hivi
1) Osha Nywele: ni mara chache tunapata muda wa kuosha nywele siku za kawaida na kama tukipata basi ni lazima twende saloon, lakini kama uko weekend na nywele zako chafu unaweza kuziosha mwenyewe kwa umakini zaidi.
2) fanya barakoa ya uso: tengeneza barokoa ya asili kama ya parachichi au yai na upake usoni ili kuweka uso wako/ngozi yako sawa kwa ajili ya maandalizi ya week nyingine itakayo anza.
3)paka rangi kucha: sio kila siku utoe hela kupaka rangi kwa watu unaweza kujaribu kufanya mwenyewe katika weekend.
4)jaribu mionekano mbali mbali kwa kupaka make up: fanya majaribio mbali mbali ya kupaka make up ili upate ule muonekano mmoja ambao utaupenda na kuutumia katika week nyingine inayo anza.
5)jali ngozi yako: jaribu kufanya mambo mbali mbali ya kujali ngozi yako kama kusugua miguu, kupaka manjano, sugua mwili wako kwa machicha ya nazi ung’aze ngozi pia jaribu kuangalia sehemu za ngozi ambazo zime haribika na kutafutia utatuzi katika weekend
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 77530 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kufanya-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kufanya-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kufanya-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 38647 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kufanya-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kufanya-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kufanya-weekend-hii/ […]