Wiki nzima ume kuwa busy hukuwa na muda wa kupumzika na kujipenda mwenyewe, ina wezekana huna usafiri pilikapilika za njiani zina kufanya ngozi yakokuharibika kwa kupigwa na jua, nywele kusinyaa kwa kukosa matunzo ya wiki nzima kutokana na haraka za kuwahi kazini lakini pia hata kula vyakula vya ovyo kwa kuwa tu huja pata nafasi ya kuweza kula kutokana na mpangilio wa mlo mzuri, basi wakati ume fika wa kufanya hivyo vyote kwa siku hizi mbili ambazo utakua free,
Kwa kupata ngozi nyororo – wazungu huita younger skin, huu ni wakati wako wa kufanya mazoezi si tu mazoezi husaidia kukuweka fit bali pia husaidia kuodoa mikunjo katika ngozi kwa uzalishaji wa collagen , ambayo hufanya ngozi yako kuwa laini na imara.
Kwa Nywele nzuri: jaribu kufanyia kichwa chako massage , ambayo inakuza mzunguko wa damu , kuchochea follicles zanywele na hatimaye kuongeza ubora wa nywele kwanza osha nywele zako kwa shampoo yako ya kawaida, usiku kwa upole kanda nywele zako kutumia vidole vyako kwa sekunde 30 . Kurudia Jumapili usiku na mara nyingi iwezekanavyo.
kufanya ngozi yako ng’avu na kuondoa madoa : Siku ya Jumapili usiku , changanya manjano na vijiko 2 ya asalikatika kikombe kidogo , “paka mchanganyiko huu kwatika uso na shingo ili kuchochea damu kati yake, kutoa sumu nje , kung’aza sehemu zilizo fifia na kuua bakteria, ” . Acha mchanganyiko juu ya uso wako kwa muda wa dakika 15 kwa ajili ya ngozi nzuri wiki nzima .
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kuufanya-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kuufanya-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kuufanya-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kuufanya-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kuufanya-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kuufanya-weekend-hii/ […]