SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

UREMBO WA KUUPOTEZEA 2016
Urembo

UREMBO WA KUUPOTEZEA 2016 

2016 Unahitaji kubadilika kuna urembo mwingine umesha pitwa na wakati ni wa kuuacha tu 2015

Faux Piercings/ kidani cha pua

mara ya kwanza zilivyo ingia kila mtu alikua ana zitamani hasa baada ya watu kama Rihanna kuvivaa lakini sasa zilivyo sambaa zikawa nyingi mno mpaka zinachosha hii ibaki tu 2015.

Faux-piercings-547x410

 

Kylie Jenner Lip Challenge

ilishika sana chat lakini ilileta madhara makubwa watu waliumia wakalazwa, wewe ni mzuri hivyo ulivyo usijaribu kuwa kama mwingine ya kylie muachie kylie.slide_469114_6374306_compressed

 

Contouring

2015 wengi tumependa kujua jinsi make-up inavyo fanya kazi na technique ya Contouring huwezi kuikimbia lakini 2016 tunaomba Makeup Artist wabuni kitu kingine zaidi ya hiki kwa maana Contouring nyingi inaonekana kipindi cha mchana na si kitu cha kumshauri mtu kupaka hasa wakati wa mchana.slide_469114_6374312_compressed

 

Bubble nails

hii ilikuja na kuondoka tunaomba isirudi tena

tumblr_inline_nzq9ovXgE91scfwd3_1280.png.cf

Related posts

1 Comment

  1. Source

    … [Trackback]

    […] There you can find 52921 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/urembo-wa-kuupotezea-2016/ […]

Leave a Reply