SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Usisahau Shingo Katika Kujali Ngozi Yako
Quick Tip

Usisahau Shingo Katika Kujali Ngozi Yako 

Moja ya makosa yanayotokea mara kwa mara kwenye kupaka vipodozi, kujisafisha na kujali ngozi zetu huwa tunasahau sana kuijali ngozi ya shingo, unaweza kukuta ngozi kote ni nyororo na safi lakini shingoni ni pachafu na hapana mvuto kama wa sehemu nyingine.

Ukiachana na kutokuwa na mvuto, shingo ni sehemu ambayo huonyesha umri wako kwa kiasi kikubwa, hakikisha vyote ambavyo unafanya kwenye ngozi yako ya mwili uwe unafanya kwenye shingo yako pia. Kuanzia kusafisha, toning na moisturizing.

Lakini pia fanyia massage shingo yako mara kwa mara kwa motions za kwenda juu, kamwa usivute ngozi ya shingo chini kwa maana badala ya kuifanya ikazike ngozi italegea.

Related posts