Miaka michache nyuma mwanamitindo na socialite kutoka Kenya, Vera Sidika alikuwa kwenye headlines kutokana na kujibadilisha kwake mwili. Vera aliamua kujichubua ngozi na kuwa mweupe, akaongeza na baadhi ya viungo vyake mwilini.
Leo katika page yake ya Instagram Vera ameshangaza wengi baada ya ku-post picha hii akiwa amerudi katika rangi yake ya ngozi ya awali ambayo ni dark skin.

Vera akipost hio picha hapo juu huku akiwa amecaption maneno “Never be defined by your past …it was just a lesson, not a life sentence.ย
Feels good to be back!!! ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ Black donโt crack #backtoblack#missedmymelanin#stillbeautiful#blackbarbie|”
Hivi karibuni watu wengi maarufu ambao walikuwa wamejibadilisha miili yao wameamua kurudi katika hali zao za kawaida, kitu ambacho tunaweza kusema ni kwamba ni vizuri kujipenda ulivyo, na pia tunapenda kuona wanawa-inspire young girls to love themselves vile ambavyo walivyo.
we can run but we can’t hide from the truth.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/vera-sidika-is-back-to-her-natural-skin-color/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/vera-sidika-is-back-to-her-natural-skin-color/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 98676 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/vera-sidika-is-back-to-her-natural-skin-color/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/vera-sidika-is-back-to-her-natural-skin-color/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/vera-sidika-is-back-to-her-natural-skin-color/ […]