SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Victoria Kimani Hair Style File
Hair

Victoria Kimani Hair Style File 

Kuna katu kati ya watu maarufu na nywele, wakati sisi tunaweza kuchukua week mbili hadi mwezi hatuja badilisha hair style wao hawawezi kukaa na hair style zaidi ya siku tatu ama week. Na hair style zao huwa sio za kawaida, si kawaida kumuona mtu wa kawaida na nywele za pink njiani lakini its total normal kumuona Nick Minaj na nywele za pink, well leo tupo  na mwanamuziki aliye zaliwa America lakini ana tokea Kenya Victoria Kimani.

Victoria tunaweza kumfananisha na Vanessa Mdee kwa Tanzania maana she is a dare lakini pia huwa anabadilisha mitindo ya nywele mara kwa mara, hii ina mfanya awe unique as she can rock any color from blue, yellow,pink you name it.

Bob cut yellow hair she is giving us Jamaican Vibes 

They Say blonde have more fun

this bob cut was life too bad it didn’t last long 

Pink Barbie 

Oh Hey There Rasta!

Victoria don’t play when it comes to hair hair,her make up is always on point and her fashion game is A1 she is a definition of super star. Je unaweza kujaribu hair style ipi?

Related posts

3 Comments

  1. บาคาร่าออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Here you will find 27034 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/victoria-kimani-hair-style-file/ […]

  2. 드라마 다시보기

    … [Trackback]

    […] There you will find 92878 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/victoria-kimani-hair-style-file/ […]

  3. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/victoria-kimani-hair-style-file/ […]

Leave a Reply