SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VIPI KUHUSU MUONEKANO MPYA WA FEZA KESSY
Make Up

VIPI KUHUSU MUONEKANO MPYA WA FEZA KESSY 

Feza Kessy ni mwana muziki wa kike ambae ali wahi kushiriki katika jumba la Big Brother Africa 2013 na  hapo ndipo wengi tulipo anza kulitambua jina lake. kwa Fezza ni mara chache kumuona na make up au  long hair tumeshamzoea katika Short hair na make up free

12930808_784449485019147_1583459667_n

lakini anaonekana kuja na kitu kipya maana ame onekana kubadilishamuonekano wake kwa kupaka make up na kuweka blonde curly lace wig (nywele za bandia za dhahabu), tumependa hii a little change Don’t hurt no body (mabadiliko kidogo hayamuumizi mtu)

14063645_1404908459519463_927011842_n

lakini hizo nywele ni hapana kwetu tuna dhani American nailz tz  walikua na uwezo wa kumpendezesha Zaidi ya hapa, ana onekana kama ame toka kuamka bila kutoa make up wala kuchana nywele.

Tumesha muona Feza katika make up mara kadhaa na alipendeza sana tu sio kama hio picha hapo juu

feza_kessy_44_0

 

Related posts