SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VIPODOZI GANI UVAE KATIKA MSIMU HUU WA BARIDI (KIPUPWE)
Urembo

VIPODOZI GANI UVAE KATIKA MSIMU HUU WA BARIDI (KIPUPWE) 

Wanawake wanapenda kuonekana warembo wakati wote, pasi kuzingatia ni majira ya mwaka yaani masika, kiangazi, umande, ama kipupwe.
Msimu huu ni wakipupwe katika maeneo mengi ya dunia na hata kwetu tanzania, ingawa si sana kwa wakazi wa jiji la dar es salaam, lakin kwa walio nyanda za juu hali tofauti
Leo tunataka kuangalia nini kifanyike katika swala zima la vipodozi katika msimu huu wa barid ambapo vipodozi vingi vinawahi kukauka mwilini kutokana na hali ya hewa husika
Katika msimu huu zingatia yafuatayo ili kufanya uendelee kuwa na mwonekano wa kipekee na wakubutia katika mwaka mzima

AINA YA NGOZI ni kitu muhimu sana kujua ngozi yako ni ya aina gani kama ni ya mafuta au kavu, na kama ni ya mafuta katika msimu huu wa baridi una takiwa kupaka kwanza mafuta au lotion unayo itumia kabla ya kupaka vipodozi na kama ni kavu unakiwa kupaka mafuta/lotion kidogo.

Tumia foundation ya kimiminika/mafuta katika sura yako ili kupata muonekano laini, kwa sababu kwatika kipindi cha baridi ngozi hupauka.

a17

baada ya kupaka foundation paka poda ili kupata muonekano mzuri

chagua vipodozi vya macho/vivuli vya macho vilivyo tulia kama rangi ya kahawia au kijivu kupaka juu ya sehemu ya jicho lako ili kupata muonekano mzuri ulio tulia.

tumia blush ambayo itang’aza ngozi yako ili usipate kuonekana ume pooza

Blush-Application-Hacks

tumia mascara nyeusi kupaka kwenye kope zako za juu na chini

88db1132684466fad2868194174ad697
 

Related posts

1 Comment

  1. แทงบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/vipodozi-gani-uvae-katika-msimu-huu-wa-baridi-kipupwe/ […]

Leave a Reply