Kwasasa kama kuna industry inayoingiza pesa ukiachana na chakula basi ni skincare, sio kwa wakaka sio kwa wadada wote tunapenda kuwa na mionekano mizuri ya ngozi zetu kila mmoja anatamani apate kipodozi ambacho kitafanya ngozi yake iwe nzuri kabisa.
Kutokana na hili basi brand nyingi zinatengeneza vipodozi na vingine kuuzwa ghali kabisa, na wengi wetu tukiamini vile vinauzwa bei ya juu ndio hufanya kazi vizuri,lakini kumbe inawezekana kikawa expensive na kisikupende na kikawa cheap kikakupenda

unacho takiwa kujua wakati unanunua vipodozi vyako sio ughali wa kipodozi bali
- Jua aina ya ngozi yako na vipodozi gani vinafaa ngozi yako
- Ukiachana na skincare routine unatakiwa kuangalia pia unachokula
- Life Style unywaji wa pombe, uvitaji wa sigara unaweza kuharibu ngozi yako
- Kilichopo katika bidhaa yako (ingredients)


Huwezi Kupata Ngozi Nzuri Kwakuwa Na Skincare Routine Tu
Mambo Matatu (3) Ya Kuzingatia Ili Kupata Kipodozi Kinachoifaa Ngozi Yako
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/vipodozi-ghali-vya-ngozi-haimaanishi-ufanisi-mzuri/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 43614 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/vipodozi-ghali-vya-ngozi-haimaanishi-ufanisi-mzuri/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 19618 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/vipodozi-ghali-vya-ngozi-haimaanishi-ufanisi-mzuri/ […]