SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VIPODOZI VYA ASILI VYA VITAKAVYO KUPUNGUZIA GHARAMA
Skin Care

VIPODOZI VYA ASILI VYA VITAKAVYO KUPUNGUZIA GHARAMA 

Huwa tunatumia gharama kubwa sana kufanya miili yetu kuwa na muonekano mzuri, tunatumia madawa mbali mbali yanayo uzwa bei ghari ili tu kupata muonekano mzuri, lakini kuna baadhi ya vitu hivi sio vizuri katika miili vina ma kemikali mbali mbali ambayo yanaweza kutudhuru,  ina weza ikawa sio papo kwa papo lakini mbeleni una weza kupata magonjwa tofauti tafauti yaliyo sababishwa na vipodozi hivyo.

LAKINI kumbe una weza kutumia vitu vya asili ambavyo una vitumia kila siku nyumbani kuondokana na gharama hio pia na kuepukana na matokeo mabaya ya vipodozi vya kutengenezwa viwandani.

1) Tumia strawberry kuondoa chunusi

Strawberry ni tunda ambalo hupatikana sana Tanzania una weza ukakuta mtu tu ana tembeza barabarani na mara nyingi huanzia elfu 3000-1000 kwa kikopo,Strawberries ina contsalicylic acid ambayo acid hii pia hutumika kutengenezea madawa mengi viwandani lakini ya kwenye strawberry ni natural haija ongezewa makemikali mengine tumia kupaka katika chunusi na utapata kuondoa chunusi zako bila gharama.

strawberries

2)Tumia Asali kama ku – condition nyele zako

kwa sasa watu wengi wame amka na kutaka kuwa na health hair lakini pia kama ilivyo kwa madawa ya usoni bidhaa hizi za nywele pia zina weza kukubali na kukukataa lakini kumbe unaweza kutumia asali ambayo karibu kila nyumba Tanzania inayo na huuzwa kuanzia 700-15000, asali ina weza ku moisturize nywele zako pia ni antifungal properties kwaio ina weza kuondoa m’ba kichwani, chukua asali massage katika ngozi ya kichwa na kisha osha kwa maji vuguvugu.

Raw honey dripping from wooden spoon

3)tumia baking soda kama shampoo

japokuwa baking soda nyingi siku hizi hutengenezwa viwandani lakini pia si bei ghali kama hizi shampoo zetu, chukua vijiko viwili vya baking soda changanya na maji kikombe kimoja osha nywele zako itaondoa uchafu pia kuondoa m’ba

baking-soda-650x365

4)Tumia mafuta ya nazi kama shaving cream

acha kununua shaving cram za bei ghali, chukua mafuta ya nazi tumia kama unavyo tumia katika shaving cream za kawaida na itaacha ngozi yako soft na smooth

ways_to_use_coconut_oil-2

5) Tumia Asali na Limao kuondoa madoa meusi

Ukitumbua kipele kuna yale madoa meusi hubakigi huwa yanaboha na hasa ukitoa ina baki shimo, chukua asali kidogo weka katika kipande cha limao na sugua sehemu ilipo athirika acha kwa dakika 5 kisha osha, itachukua muda kidogo kwa kuondoa itabidi urudie rudie ili kuweza kupata matokeo mazuri

Lemon and honey

Related posts