SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VIPODOZI VYA KUDUMU
Urembo

VIPODOZI VYA KUDUMU 

Vipodozi vya kudumu ni vile vipodozi ambavyo watu hupaka/huchora na vina kaa kwa muda mrefu (permanent cosmetics) kwa kusema kukaa muda mrefu si vile tume zoea masaa 24 hapana bali vipodozi hivi vina weza kuchukua miezi kutoka ni kama tattoo, vipodozi hivi haviwezi kufutika (kama wanja wa nyusi), lakini pia ngozi huwa ina utaratibu wa kijisafisha natural kila baada ya siku 30 kwaio ni lazima vipodozi hivi vya kudumu vita futika kwa kidogo kidogo, na kufutika kwake pia ni kitu kizuri as mitindo hubadilika mara kwa mara na pia huwezi kuzeeka ukiwa na wanja wa lulu usoni.

 

kwanini uweke kipodozi cha kudumu?

 • kutokua na muda wa kupaka make up kila siku
 • wale wenye matatizo ya kukatika kwa nywele pia wana weza kufanya permanet cosmetics
 • kuna wale watu wenye ngozi za mafuta make up zao ufutika mara kwa mara hii ita saidia kuepukana na usumbufu huo
 • wanamitindo
 • kuna wale ambao wana penda kupendeza kila saa hata wakitoka kuamka
 • wenye matatizo ya macho wana weza kuweka permanent lens

mara nyingi watu huweka nyusi za kudumu na hii ni kutokana na kuepuka usumbufu wa kuanza kupaka wanja kila siku na hii imeonekana kushika chati sana kwa sasa, pia ina weza kufanyika sehemu mbali mbali kama midomo nk.

1426276637_micropigmentacion

je inauma?

ina tegemea na ngozi yako kuna wengine haziumi na kuna wengine zinaumana huchukua siku 4 hadi 7 kupona  (zisizo uma ni kama kupaka piko)

jinsi ya kutunza nyusi zako hadi zipone

-Usikae nazo katika sehemu yenye joto au baridi kupitiliza

-usipake kipodozi cha aina yoyote kwa muda wa siku tatu

-usikune wala kushika shika sehemu ya nyusi zako

– usipake mafuta ya aina yoyote kwenye nyusi

unaweza kuangalia video hapo chini ni jinsi gani mlolongo huu ufanyika

 

 

Related posts

6 Comments

 1. สร้างเว็บไซต์

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/vipodozi-vya-kudumu/ […]

 2. Buy DMT Vape Pen and Cartridges New South Wales

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/vipodozi-vya-kudumu/ […]

 3. BK8

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/vipodozi-vya-kudumu/ […]

 4. content

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/vipodozi-vya-kudumu/ […]

 5. 다시보기티비

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/vipodozi-vya-kudumu/ […]

 6. Dave Bolno NKSFB

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/vipodozi-vya-kudumu/ […]

Leave a Reply