SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vitu Muhimu Kwa Mwanaume Kuwa Navyo Katika Utunzaji Wa Kucha
Dondoo

Vitu Muhimu Kwa Mwanaume Kuwa Navyo Katika Utunzaji Wa Kucha 

Usafi haubagui,  iwe mkaka au mdada lazima uwe nadhifu haijalishi upo nyumbani, kazini, ama barabarani, Moja ya jambo ambalo wakaka wengi tumeona hushindwa kufanikisha ni usafi wakucha za mikononi na miguuni. Waweza kuonana na mkaka mtanashati kapendeza lakini ukatazama kucha ukaishia kushangazwa na uchafu uuonao.

Ili kutekeleza usafi wa kucha kwa wakaka, haihitaji vitu vingi. Vipo vya msingi ambavyo waweza kuwa navyo nakujitengeneza kila weekend nyumbani, navyo ni:

NAIL CUTTER

Wanaume wengi hufanya kazi za suluba hivyo uchafu huingia kuchani. Hakikisha hukosi nail cutter nyumbani au hata utembeapo katika mkoba wako. Kucha chafu huleta madhara makubwa ikiwemo magonjwa ya tumbo. Pia haifai mguuni kutoboa socks kisa makucha marefu, shughulika mwana wane.

NAIL FILE

Ni kifaa ambacho hutumika kusawazishia kucha. Kwa baadhi ya nail cutters huwa nazo ila yafaa ukiwa nacho pia ili kuziweka kucha zako zikiwa na muonekano unaofaa.

CUTICLE SCISSORS

Katika kucha huwa twaona ngozi zikiota pembezoni mwa kucha na wengi huzing’ata lakini kiutaalamu. Kifaa hiki kitakusaidia kuondoa ngozi hizo na kucha kubaki zinapendeza.

Pia yafaa kuosha mikono na miguu kila siku pale ushikapo uchafu wa aina yoyote ile. Waweza jisafisha vizuri pindi uogapo ili kuonda maradhi na uchafu uufanyao kucha kudumaa na kutovutia.

Na yashauriwa kunywa maji mengi maana husaidia katika kucha. Tumeona wakaka wengi wakibanduka ngozi za chini ya kucha. Suluhisho la hili si kuzibandua ngozi hizo hadi utokwe damu abli kunywa maji mengi tu kila sku nautajionea mabadiliko

Imeandikwa na @willibard_jr 

 

Related posts

6 Comments

 1. DMT vape pen for sale online Victoria

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/vitu-muhimu-kwa-mwanaume-kuwa-navyo-katika-utunzaji-wa-kucha/ […]

 2. หนองใน

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/vitu-muhimu-kwa-mwanaume-kuwa-navyo-katika-utunzaji-wa-kucha/ […]

 3. สล็อตเว็บตรงไม่มีขั้นต่ำ

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/vitu-muhimu-kwa-mwanaume-kuwa-navyo-katika-utunzaji-wa-kucha/ […]

 4. https://www.timesunion.com/marketplace/article/phenq-reviews-17525542.php

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/vitu-muhimu-kwa-mwanaume-kuwa-navyo-katika-utunzaji-wa-kucha/ […]

 5. Buy Blue Punisher MDMA online Europe

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/vitu-muhimu-kwa-mwanaume-kuwa-navyo-katika-utunzaji-wa-kucha/ […]

Comments are closed.