Mara nyingine hawa wapenda urembo huwa wana furahisha lakini pia wana turahisishia maisha, make up artist wame onekana kuwa wana buni vitu tofauti tofauti kwa ajili ya kifanya kazi zao ziwe rahisi well beauty blender zina zalishwa kila siku na seems like zile nzuri zinakuwa expensive baadhi ya make up artist wakajionea hee ya nini wakati kuna vitu mbali mbali tuna weza kuvigeuza vikawa beauty blender na kutuletea matokeo mazuri tu na hawa ndio baadhi ya walio tufurahisha
make up artist huyu yeye alitumia nyanya kama beauty blender
https://www.instagram.com/p/BRI5ozfliOL/
huyu yeye aliamua kutumia kiazi lol ni kuwa mbunifu tu na kuwa vutia wateja
View this post on InstagramA post shared by Arwin 🇮🇷 (@mo.artistry) on
wakayi huyu yeye alitumia pulizo, yes mam pulizo sometimes umasikini ni kisingizio tu be creative
View this post on InstagramA post shared by Sadia (@sadiaslayy) on
ni matumaini yetu ume jifunza kitu mpaka tchao
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/vitu-unavyo-weza-kutumia-kama-huna-beauty-blender/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/vitu-unavyo-weza-kutumia-kama-huna-beauty-blender/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/vitu-unavyo-weza-kutumia-kama-huna-beauty-blender/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 21868 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/vitu-unavyo-weza-kutumia-kama-huna-beauty-blender/ […]