SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WATU MAARUFU WAKIWA KATIKA LOW CUT HAIRSTYLE
Hair

WATU MAARUFU WAKIWA KATIKA LOW CUT HAIRSTYLE 

Low cut ime kuwa a hit kwa sasa maana asilimia kubwa ya watu maarufu bongo wamenyoa nywele na kuacha nywele fupi, wakiwepo hawa watatu Jacqueline Wolper, Shaa na Feza Kessy.

sio kitu rahisi sana kumkuta msichana/mwanamke kakata nywele zake na yuko proud kuonyesha kwamba kanyoa, wengi wetu tunapenda nywele ndefu tukihisi zina tupendeza zaidi, lakini una wezaku rock low cut na pia ukanoga tu kama hawa

tunaanza na Jacqueline yeye ana badilisha badilisha rangi mara blonde, mara nyeusi kawaida ili mradi ana cheza na nywele zake. Zinamoendeza mno na ana zipatia kustyle

Feza Kessy nae kama Jacqueline ana badilisha rangi now and then, and she real looks good on low cutsĀ 

Shaa yeye amekata tu nywele na kuwa blond, rangi inaendana na her skin tone pia ame pendeza mno

 

Related posts

6 Comments

 1. try these out

  … [Trackback]

  […] Here you will find 42101 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/watu-maarufu-wakiwa-katika-low-cut-hairstyle/ […]

 2. liberty cap mushrooms the forest

  … [Trackback]

  […] Here you can find 52703 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/watu-maarufu-wakiwa-katika-low-cut-hairstyle/ […]

 3. images of liberty cap mushrooms

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/watu-maarufu-wakiwa-katika-low-cut-hairstyle/ […]

 4. Strawberry 1g Disposable Vape

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/watu-maarufu-wakiwa-katika-low-cut-hairstyle/ […]

 5. this link

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/watu-maarufu-wakiwa-katika-low-cut-hairstyle/ […]

 6. cc shop

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/watu-maarufu-wakiwa-katika-low-cut-hairstyle/ […]

Leave a Reply