Kutokana na gonjwa hili la Corona watu wengi tumekuwa tukikaa nyumbani na kuto kwenda kokote kuepuka misongamano, sote tunajua kukaa nyumbani bila cha kufanya inakufanya utafute vitu vya kuku-entertain na imeonekana mtandao wa Tiktok umekuwa msaada mkubwa kwa wengi.
Kuna challenge nyingi zimeanzishwa huko na moja wapo ni hii ya #freshfacechallenge ambapo unatakiwa uwe makeup free lakini pia bila filter. Kwetu tumependa hii challenge maana kukaa nyumbani inabidi uache ngozi yako ipumue kutokana na ma makeup au cream na lotion zozote ambazo ulikuwa unatumia.
Kuna watu maarufu mbalimbali kutoka Nchini kwetu Tanzania waliofanya challenge hii na hawa ni baadhi yao,
Lavidoz who came with a whole message kuhusu insecurities na kujikubali
View this post on InstagramA post shared by Lavidoz (@lavidoz) on
Model Nelly Kamwelu
View this post on InstagramA post shared by Nelly Ahmadi Kamwelu Almas (@nelly_kamwelu) on
Jocelyn Maro
Rosa Ree
View this post on InstagramI miss the sun 🌞 . What do you miss most this #LockDownSeason ???
A post shared by 👑 GODDESS 👑 (@rosa_ree) on
Dj Sinyorita
View this post on InstagramA post shared by DjsinyoritaTZ (@djsinyorita) on
Well hii ni kwa wale ambao hudhani watu maarufu wako perfect ” We all have our flaws but its how we accept and improve them that matters” Hakuna mkamilifu.
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…