Ilikua Wema Sepetu’s weekend maana kila kona ya Instagram unakutana nae, well her team don’t play. Alikua ana host instagram party Rwanda na alipendeza mno tulicho penda zaidi ni hii makeup yake
Tumependa eye brow zipo on point, decorated winged eye shadow.
make up iliisha na ombre nude lipstick which imebeba muonekano mzima, pia jinsi ambavyo wamebond her weave it looks so natural
Did we mention she lost some weight? well yah she did na amependeza mno
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/we-are-crushing-on-wema-sepetus-stunning-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/we-are-crushing-on-wema-sepetus-stunning-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 54190 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/we-are-crushing-on-wema-sepetus-stunning-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/we-are-crushing-on-wema-sepetus-stunning-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/we-are-crushing-on-wema-sepetus-stunning-makeup/ […]