SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wedding Makeup Inspiration By Makeup Artist Grace Malikita
Make Up

Wedding Makeup Inspiration By Makeup Artist Grace Malikita 

Weekend’s are for wedding’s, kama unamualiko wa harusi weekend hii na bado unawaza ni makeup gani upake au mtindo gani wa nywele una kupasha uweke basi hapa ndipo Make Up Artist Grace Malikita au CherieMals anapo jaribu kukuonyesha nini ufanye.

Kwa upande wa nywele Grace made it easy kwa kufunga gele la kitenge, sio wote wenye uwezo wa kununua ma wig expensive na muda mwingine ungeenda kutokuwa na mambo mengi kichwani. Unaweza kupendeza kwa kufunga Gele lako zuri kabisa la kitenge.

 

lakini tulichopenda zaidi ni yeye kutupa option mbili za vipi unaweza ku-make up mtoko wako wa harusi huku umevalia Gele ilo ambapo ametuonyesha kama sio mpenzi wa bold colors unaweza kupaka nude lipstick,

Lakini pia akawapa option wale ambao wanapenda bold lipstick yeye alichagua kwenda na bold red lipstick.

Tuambie kama wewe ndio mgeni mualikwa je ungechagua muonekano upi kati ya bold na nude?

 

Related posts

1 Comment

  1. golden teacher mushroom strain,

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/wedding-makeup-inspiration-by-makeup-artist-grace-malikita/ […]

Comments are closed.