SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wema Sepetu, Rosa Ree, Miriam Odemba And Many More Slaying The Low Cut Hair Style
Hair

Wema Sepetu, Rosa Ree, Miriam Odemba And Many More Slaying The Low Cut Hair Style 

Its take a bold woman to cut her hair, and when she does that know that there are changes she is trying to make in her life, tumezoea kuona watu maarufu wengi waki-spend pesa zao kwenye nywele za bei ghali lakini kwa sasa tunaona wengi wao wameamua ku-embrace the low cut life na ku-slay nywele zao the way they are. Watu kama Wema Sepetu, Miriam Odemba, Rosa Ree, Nancy Sumari, Nina roz kutoka Uganda na  Joyce Kendi Kutoka Kenya wameonekana kutuonyesha jinsi ambavyo unaweza kupendeza ukiwa na nywele fupi

Le Madame Wema Sepetu yeye ameonekana kupenda low cut siku hizi na amesema kabisa hii ndio style yake ya 2019, tunachopenda ni namna amabavyo ana confidence nayo na anatufanya mpaka sisi wengine tutake kukata nywele zetu, week hii tumemuona akiwa amependeza na hii makeup those bows unaweza kuombea mkopo bank, nude makeup na amemalizia na statement earrings

Mwanamitindo Miriam Odemba yeye she always on low cut anapendeza nazo sana safari hii tumeona akiwa na blonde cut style, amemalizia muonekano wake na dark eye shadow na red lipstick,that highlighter can brighten your day.

Nancy Sumari is all smiles in her low cut with nude lipstick

 

Rosa Ree yeye ana new Hair do ambayo ni kiduku chenye rangi ya rose gold, na yeye ametuonyesha how to be bold kwenye hii hair style kwa kupaka  bold lipstick ya blue na akamalizia na big hoop earrings, count on Rosa for the bold and uniqueness

Mwanadada kutoka Uganda Nina Roz yeye ametupa wedding guest vibes na hii low cut yake ambapo yeye ameweka platnum blonde color, akamalizia muonekano wake na red lipstick na accessories nyekundu, well we can real attend a wedding with this style.

 

Wakati blogger kutoka Kenya Joyce Kendi yeye nae ana blonde cut na aliamua kuwa na no makeup makeup look, we need her skin routine because baby girl is smooth.

Well afromates umevutiwa na nani zaidi?

 

Related posts

2 Comments

  1. hawaiian magic mushrooms

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/wema-sepetu-rosa-ree-miriam-odemba-and-many-more-slaying-the-low-cut-hair-style/ […]

  2. here are the findings

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/wema-sepetu-rosa-ree-miriam-odemba-and-many-more-slaying-the-low-cut-hair-style/ […]

Comments are closed.